Wiki iliyopita wabunge walipiga kura katika Bunge la Kitaifa kuidhinisha kuondolewa kwake madarakani, na hivyo kuweka mazingira ya kusikilizwa kwa kesi ya siku mbili katika Seneti ambayo itaamua ...
Duru za kisheria zimebainisha kuwa kesi hizo ni sehemu ya mfululizo wa wanasiasa wa upinzani kukabiliana na changamoto za kufanya shughuli za siasa nchini Tanzania ambapo kwa kipindi cha miaka ...