News

CHAMA cha Kikapu Mkoa wa Kigoma kimetamba kuwa na viwanja wanaochipukia katika mchezo huo ambao ni toleo jipya linalotarajiwa ...
MCHUANO kwa timu za wanawake utakuwa kwa klabu tano kati ya timu 11 zinazoshiriki Ligi ya Kikapu ya Wanawake Mkoa wa Dar es ...
KAMA wewe ni shabiki wa Yanga au Simba na una tabia ya kununua tiketi siku ya mchezo pindi timu hizo zinapokutana katika ...
Kwa miaka zaidi ya 20 katika muziki, Jay Moe amejizolea sifa kama rapa mwenye uwezo mkubwa wa kuandika mambo ya kufikirisha ...
UNAKUMBUKA mwaka 1993 wakati Simba inacheza fainali ya Kombe la CAF ambalo baadaye 2004 likaunganishwa na Kombe la Washindi ...
WAKATI mashabiki wakijiuliza kitu gani kimemkuta kiungo mkabaji mzoefu wa Yanga, Jonas Mkude aliyewahi kuwika kwa karibu ...
MIKAKATI ya kukiimarisha kikosi cha Yanga kwa ajili ya msimu ujao, imeanza mapema kwa kocha wa timu hiyo, Hamdi Miloud ...
MSHAMBULIAJI wa KMC, Daruweshi Saliboko amesema anaupenda aina ya uchezaji wa straika wa Simba, Steven Mukwala kutokana na ...
BAADA ya ndoto za Azam kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu kuota mbawa, kocha Rachid Taoussi kwa sasa amehamishia nguvu ...
KIUNGO wa Tanzania Prisons, Haruna Chanongo amesema wana dakika 270 ngumu za maamuzi ya timu hiyo kusalia Ligi Kuu au la, ...
PAMBA Jiji kwa sasa wanaumiza kichwa kuona ile ndoto yao waliyoiota kwa takribani miaka 23 kushiriki Ligi Kuu Bara, haipotei kwa haraka. Wanachokifanya ni kuweka mikakati mizito kuilinda ndoto hiyo.
WAKATI Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ikitangazwa kuchezwa mzunguko mmoja, huenda baadhi ya timu kongwe mfumo huo ukazifanya ziwe na wakati mgumu mara itakapoanza.