DAR ES SALAAM: Serikali imesema itaendelea kutumia teknolojia ya Akili Unde (IA) katika kuboresha utoaji wa huduma za kijamii ...
DAR ES SALAAM: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekifunga kiwanda cha kutengeneza zege cha JUYE ...
OFISI ya msajili wa vyama vya siasa imevitaka vyama vya siasa nchini kuzingatia masuala ya jinsia kwa kuhakikisha vinatoa ...
DODOMA; WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ametoa rai kwa watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi kwa weledi, ...
Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia Februari 11-12, 2026.
ENGLAND: Mshambuliaji wa Arsenal, Kai Havertz, amepata jeraha la misuli na anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa kipindi ...
DODOMA: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi, Dk Charles Msonde ameitaka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kuendelea kuimarisha uwajibikaji, matumizi sahihi ya rasilimali ...
DODOMA: SERIKALI kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepunguza kwa kiwango kikubwa ada za usajili wa vyombo vya habari mtandaoni, ili kurahisisha uendeshaji wa blogu, Online TV na majukwaa ...
TANGA: WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuanza ziara ya siku tano mkoani Tanga kuanzia Februari 13 hadi 17, 2025 kwa lengo kukagua miradi yenye thamani ya Sh bilioni 758.1 iliyopo kwenye ...
DAR ES SALAAM: MASHABIKI wa muziki wa dansi nchini wanatarajia kushuhudia onesho kubwa la kihistoria itakayofanyika jijini Dar es Salaam, likiwakutanisha wakali watatu wa muziki wa dansi jukwaa moja.
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, jijini Addis Ababa Ethiopia, leo Februari 12, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na S ...
ARUSHA: TAASISI ya Vijana ya Ndoto Action imekabidhi jumla ya madarasa 10 yenye thamani ya Sh milioni 700 kwa Shule ya Msingi Mzimuni, iliyopo katika kata ya Nduruma Halmashauri ya Wilaya ya Arusha ik ...