Makonda akagua Uwanja wa Mkapa maandalizi ya AFCON 2027 Jumatatu, Februari 09, 2026 Photo: 1/9 ...
Ndani ya Simba Kibu ameondoka akiwa amefunga jumla ya mabao 15 kwenye Ligi Kuu Bara, lakini ndani ya miaka minne na nusu ...
TAJIRI wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe amesema kuwa baadhi ya maamuzi aliyoyafanya ndani ya Manchester United yanaanza “kuzaa matunda”.
ARSENAL imepata pigo jingine katika harakati zakeza kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England na michuano mbalimbali baada ya ...
KWA mara nyingine, Fountain Gate imehama kituo cha mechi zake za nyumbani za Ligi Kuu baada ya kuamua kutumia Uwanja wa ...
Katika kundi ililopo, Azam imefungana pointi na Maniema kila moja ikiwa na tisa baada ya mechi tano, nyuma ya Wydad AC ya ...
VITA ni kali England. Ndio, Arsenal na Manchester City zipo ktika vita kali ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL) zina ...
MSHAMBULIAJI Kibu Denis aliyekuwa Simba aliyelamba dili la kujiunga na Al Nasr Benghazi ya Libya ameshindwa kujizuia wakati ...
Chama amemvua namba kiungo huyo Mkenya akiwa ni wa tatu sasa, wakiwamo wawili ndani ya Simba na mmoja wa Yanga aliyoitumikia pia kwa msimu mmoja kabla ya kutua Singida Black Stars msimu huu na kucheza ...
LICHA ya JKT Tanzania kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara ikiongoza kwa pointi 27, kikosi hicho cha maafande ndio kinachoongoza kwa wachezaji wa timu hiyo kuonyeshwa kadi ...
MABOSI wa Tottenham Hotspur wanadaiwa kuwa katika mpango wa kutaka kumrejesha Mauricio Pochettino katika msimu ujao baada ya kumfuta kazi kocha Thomas Frank.
REAL Madrid na UEFA zimetangaza kuwa zimefikia rasmi hatma ya mgogoro wao wa kisheria kuhusu pendekezo la kuanzishwa kwa Ligi ya European Super League.