BAADA ya kuambulia sare ya bao 1-1 ugenini, Kocha mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema bado ana dakika 90 ...
STAA wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Alphonce Modest anatarajiwa kuzikwa Ijumaa mchana katika makaburi ya Lubengela ...
Kocha wa Simba Dimitar Pantev anaendelea na kazi ya kukinoa kikosi chake nchini Eswatini, tayari kwa mchezo wa mkondo wa ...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya ziara ya ...
KLABU ya Yanga, Oktoba 13, 2025 ilimtambulisha Patrick Mabedi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo chini ya Mjerumani, Romain Folz. Mabedi ametua Yanga kuchukua nafasi ya Manu Rodriguez ...
MSIMU wa 2024/2025 wa kimashindano huenda ukawa ni msimu wa kukumbukwa zaidi na uliotia alama katika safari yake ya soka na ...
KUMEKUWA na vikao vya hapa na pale vinavyofanywa na mabosi wa Yanga sambamba na wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo ...
Kwa hali ya unyonge, Muddy alimfuata afisa wa uhamiaji ambaye alimuongoza hadi katika ofisi nyingine iliyokuwa na watu wengi.
Lakini kwa sasa, jina lake limeanza kupenya midomoni kwa wengi baada ya kuuwasha ndani ya Simba, akitajwa kama mchezaji ...
Hugo Ekitike amefunga dhidi ya klabu yake ya zamani wakati Liverpool wakiukomesha mwenendo wao mbaya wa kupoteza mechi kwa ...