BAADA ya kuambulia sare ya bao 1-1 ugenini, Kocha mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema bado ana dakika 90 ...
Kocha wa Simba Dimitar Pantev anaendelea na kazi ya kukinoa kikosi chake nchini Eswatini, tayari kwa mchezo wa mkondo wa ...
STAA wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Alphonce Modest anatarajiwa kuzikwa Ijumaa mchana katika makaburi ya Lubengela ...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya ziara ya ...
KLABU ya Yanga, Oktoba 13, 2025 ilimtambulisha Patrick Mabedi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo chini ya Mjerumani, Romain Folz. Mabedi ametua Yanga kuchukua nafasi ya Manu Rodriguez ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limetangaza Novemba 3, 2025, itachezeshwa droo ya upangaji wa makundi kwa msimu wa ...
WANARIADHA sita walioiwakilisha Tanzania katika mbio za Nagai City Marathon zilizofanyika Japan, wamerejea nchini kwa furaha ...
VITUKO haviishi kwenye Ligi Kuu Soka Zanzibar (ZPL), safari hii, Mwanaspoti imeshuhudia kubwa zaidi wakati wa mechi za ligi ...
MSANII mkongwe wa Bongofleva, Chid Benz, amesema kutokana na kupitia changamoto za utumiaji wa dawa za kulevya na kuweza ...
Ndio timu nne kati ya tano kwa maana ya Simba, Yanga, Azam FC na Singida Black Stars zipo katika nafasi nzuri ya kutinga ...