DAR ES SALAAM: Serikali imesema itaendelea kutumia teknolojia ya Akili Unde (IA) katika kuboresha utoaji wa huduma za kijamii ...
DODOMA: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi, Dk Charles Msonde ameitaka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kuendelea kuimarisha uwajibikaji, matumizi sahihi ya rasilimali ...
DODOMA: SERIKALI kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepunguza kwa kiwango kikubwa ada za usajili wa vyombo vya habari mtandaoni, ili kurahisisha uendeshaji wa blogu, Online TV na majukwaa ...
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, jijini Addis Ababa Ethiopia, leo Februari 12, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na S ...
ARUSHA: TAASISI ya Vijana ya Ndoto Action imekabidhi jumla ya madarasa 10 yenye thamani ya Sh milioni 700 kwa Shule ya Msingi Mzimuni, iliyopo katika kata ya Nduruma Halmashauri ya Wilaya ya Arusha ik ...
DAR ES SALAAM: MASHABIKI wa muziki wa dansi nchini wanatarajia kushuhudia onesho kubwa la kihistoria itakayofanyika jijini Dar es Salaam, likiwakutanisha wakali watatu wa muziki wa dansi jukwaa moja.
TANGA: WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuanza ziara ya siku tano mkoani Tanga kuanzia Februari 13 hadi 17, 2025 kwa lengo kukagua miradi yenye thamani ya Sh bilioni 758.1 iliyopo kwenye ...
DAR ES SALAAM: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekifunga kiwanda cha kutengeneza zege cha JUYE ...
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa Afrika haiwezi kushinda vita dhidi ya saratani ikiwa kila nchi itafanya kazi peke yake. Amesema kuwa ili kufikia malengo ya mapambano dhidi ya saratani, ku ...
ARUSHA: KATIBU Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dk.Toba Nguvila amesema hatavumilia vikwazo vya kiutendaji wala urasimu unaokwaza wawekezaji katika sekta ya utalii mkoani humo ikiwemo migogoro kwa wananchi.
“Tukubali kiroho safi kwamba mwaka huu tuliteleza, tukishafungua nafsi maana yake kila Mwanasimba tarehe 14 atakuja uwanjani kiroho safi,” anasema Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally. Ahmed ametoa kauli h ...
Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali na kuondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, leo Februari 12, 2026, kuelekea Addis Ababa, Ethiop ...